Khaaaaaa
Nini tena binamu... mbona kama kauli zako zina tumajungu majungu fulani hivi?! Si ni wewe mwenyewe ndie uliniambia kwamba nina binamu yangu mwingine aitwa Shadeeya, na kwamba eti nikimuona lazima nimpende!
Kweli ni binamu yangu bhana, na kwahiyo nawe ni binamu yangu damu damu!! Sema huyu binamu Shunie ana tutabia fulani twa majungu majungu hivi...!! Afu binamu hivi huyu binamu shunie alikuwa anakuletea salamu zangu?!Mwenzangu kaja na gia kwamba we ni binamu ake hivyo kwa kuwa we ni Dada basi na mie ni binamu yake. Ikabidi nikubali tu huku nikisubiri uje.
What? Binamu, usiniambie leo ilikuwa ndo besdei yako?!Binamu Obe naomba mm nyimbo ya harmonize ya happy birthday
Basi sawa binamu... mwambie natia timu kwenye mkesha wa mwaka mpya!!! Mkesha unanoga binamu akiwa pembeni mnapokezana kurusha mafataki; uongo binamu?!Zimefika binamu.
Bday yangu kaka chige haujaona thread chit chatWhat? Binamu, usiniambie leo ilikuwa ndo besdei yako?!
Mm huyo jamaniiiNini tena binamu... mbona kama kauli zako zina tumajungu majungu fulani hivi?! Si ni wewe mwenyewe ndie uliniambia kwamba nina binamu yangu mwingine aitwa Shadeeya, na kwamba eti nikimuona lazima nimpende!
Kumbe ulikuwa unanitega enh?! Lakini tuache masihara binamu, yaani kila nikitaja jina la binamu Shadeeya, moyo unafanya pah... sijui ndo nini!!
Hapana shemelaMmeanza sasa na bongo movie yenu kunifanya mm poyoyo
Shkamoo mume wa da tumosaHapana shemela
Nimekumiss pia binamu, naamini uko poa na wanaokuzunguka wanafurahia likizo yako
Mnalewa lakini, Nyie Makapuku
Hapana nn mnaniletea mamovie tu mimiHapana shemela
Heko ya kuzaliwa aunt yangu. Hongera sana na mimi kama wengi wengine tunafurahi na wewe sababu wewe ni mtu mzuri na jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo.
Asante sana binamu yangu kipenziHappy borndate Shunie na hii ni zawadi ya Makapuku kwako wewe ni sehemu ya jukwaa hili. Furahia siku hii
JamaniHappy birthday ShunieView attachment 979621 Be blessed. Kama pilau imezidi viungo chips zipoView attachment 979622 Pamoja na kwamba nimechelewa ila nimefanikisha kufikisha salamu. Mwaka mpya tuuone pamoja.
Asante kipenzi changuHappy birthday ShunieView attachment 979621 Be blessed. Kama pilau imezidi viungo chips zipoView attachment 979622 Pamoja na kwamba nimechelewa ila nimefanikisha kufikisha salamu. Mwaka mpya tuuone pamoja.