Hahahaha, vijana huwa mnanifurahisha Sana humu
Mastory yenu yako poa Sana
Single ndo wap binamu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahahhhaha na wewe si mzee kijana
Nasemaaaaaa tayariiiiiii kufikaaa mida ya mechiiii mbonaaaaa rahaaaaaa sanaaaaaaaaa....shunieeee mama la mama
Tayaaaaaaaaariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Yeah ndio maana napenda kuwasoma humu
Hahahhhaha na wewe si mzee kijana
Kubwaaaa kulikoooooooooo
Nina raha sana na mwezi wangu nawashukuru wazazi wangu kwa kunizaa huu mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mastory ya town
Ilaaa huyuu ni mzee kwelii mtu wa makamoooo....
Ila jf ni kibokoo kuna mzee mmoja nilikaa naee siku moja saloon anaperuziiii majukwaaa mm cha mtoto
Hahahaha kwa kweli mko vzr
Mengine nayaelewa mengine siyaelewi lkn ,nafurahia uwepo wangu
Amefufuka from nowhere![emoji1][emoji1][emoji1]Wewe vipiiii tenaa
Hogoooooooooo hiloooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni njemaAnza kushika uchumba.
Habari ya uzima, ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usinisemeeNajuaaaaaaaa ila nasemajeeeee tayariiiiiiii