Huna haja ya kujua uzi, wewe nipe ruhusa nimlete hapa fasta![emoji1][emoji1][emoji1]
inabidi nimhamishe rafiki yangu marrybaby huku asije akajinyonga bure![emoji4][emoji4][emoji4]Marybaby sijui kajinyonga ?
Anakutakaaa huyo anashindwa kufunguka
Mm mgumu kweli mwambie ageuze njiaAnakutakaaa jaman na ww mgumuu
X wa lee bhana![emoji1][emoji1][emoji1]Mleteee
Mleteee
Kama umempaa asiyempendaa na anakuogopa kupingaa
X wa lee bhana![emoji1][emoji1][emoji1]
Jiweee shikamoooo
[emoji12][emoji12][emoji12]Kama haumleti achana na maneno kama mwanasiasa
X wa jiwe bhana!![emoji1][emoji1][emoji1]Na wewe una gunduu sio la kapukuuu hiii...jiwee kagomaaa kukupaa teuziii wanaotenguliwaa wamegomaa kuja kwako
Yaaaan anashindwaaa kula kisa wewe amekufaaa kaozaaa penzii la jiweAnanitaka mm kweli kabisa ananitaka
Yaaaan anashindwaaa kula kisa wewe amekufaaa kaozaaa penzii la jiwe
Mm mgumu kweli mwambie ageuze njia
Wewe bwana pambana na hali yako sisi tuacheee