Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Sio your hogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]miss you too my banana lakini hilo jina telemundo jaman
Sio your hogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]miss you too my banana lakini hilo jina telemundo jaman
Telemundo wa banana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] telemundo wa binamu
Ulivotenguliwaaa umekuwa mpolee kama pilitonWajomba zangu ,week end mko wapi?
Umeona mpira ulivyopigwa yaani nimejikuta napona ngiri maana nilikuwa naangalia huku nakula bia ya wanausalama, Safari lager ya moto. Nitalewa asubuhiChelseaaaaaa rahaaaaa thanaaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili game nahisi ngiri kutoka porini kuja mjini kukaa na mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msalimie telemundo wakoBehaviourist ndo Mzee wa chura, Mimi nipo na mambo ya telemundo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....miss you tayari my spicy chocolate, naangalia mpira hapa ila tv nzima nakuona wewe
Hi[emoji113] [emoji113] [emoji8] [emoji8] binamu uwe na jumapili njemaBinamu uko poa, hebu pokea Hi
KanisaniWajomba zangu ,week end mko wapi?
Heshima yko binamuUmeona mpira ulivyopigwa yaani nimejikuta napona ngiri maana nilikuwa naangalia huku nakula bia ya wanausalama, Safari lager ya moto. Nitalewa asubuhi
Hahahaha,Ulivotenguliwaaa umekuwa mpolee kama piliton
Tumsigu Yesu Kristo ....Kanisani
King Mswati mambo?[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] asante mpenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikoseaaa namanishaaa marybaby anikimbieee au ?