marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji5][emoji5]kwamba pesa ndo kilakitu eeneh.?Hapa vyotee true love plus trul wallet
[emoji5][emoji5]kwamba pesa ndo kilakitu eeneh.?Hapa vyotee true love plus trul wallet
Kitanda ndo kilaaa kitu[emoji5][emoji5]kwamba pesa ndo kilakitu eeneh.?
[emoji23][emoji23][emoji23]bc naendelea kukitumikiaKitanda ndo kilaaa kitu
[emoji23][emoji23][emoji23]bc naendelea kukitumikia
[emoji33][emoji33]kukomoana ss huko.Na kitaumiaa round hii
Krb pita mpk mbele kbs.Hodiiii
KaribuuuHodiiii
Walaaaa[emoji33][emoji33]kukomoana ss huko.
[emoji134][emoji134].
Makapuku nawasalimia sn[emoji113]
Hey,mambo,!Hello
Salama kbs,twashukuru tupo na tunaendelea km juzi jana na sk zijazo,Habar za hapa ndugu zangu?
Hope ni wazima na mnaendelea kupambana na majukum ya kila siku.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Rafiki niko hapa nasubiri jiwe afanye tena teuzi huenda hohehahe mimi nikakumbukwa kipindi hiki!! [emoji30][emoji30][emoji30][emoji38][emoji38][emoji38]heshima yako Rafiki
Marahaba binamu mzuri,hujambo?Shikamooo binamu
Rafiki bado kidogo upatwe tena na teuzi mpya![emoji16][emoji16][emoji16]Nipende kwakweli maana kupokonya lzm uwe na extra maloveee.[emoji4]
Karibu utauelewaaHuu uzzz siuelewagi,,;!!!
Na wewe mbaya wangu kumbeRafiki bado kidogo upatwe tena na teuzi mpya![emoji16][emoji16][emoji16]