Makapuku Forum

Duh aiseeee

Ila bado namtetea mtoto. Mama mtu lishe yake haijakamilika haina virutubisho. Wamama wa zamani walikua wanakula hasa,supu supu,ndizi za maana,uji ndo usiseme maziwa yakitoka hapo full afya na vitamin za kutosha
Eeenh watoto wa kiume sasa hivi sana njaa mnooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…