Makapuku Forum

Hahahahaha
Kwahiyo ukiona hivyo unaona tunakulana simjui anafananaje hanijui nafananaje

Ana bebez wake huyo waone vile wajue ananikula nianzishiwe thread siku hizi nimeamua kuwa binti mpole tu

Haya Shualina.....usijali.

Mi natania tu bana, maana kweli usije anzishiwa thread bure kisa utani wa Ngabu halafu hali ya hewa ikachafuka.

Jumapili njema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…