Tumosa na
ningendako nawatakia maandalizi mazuri ya wikend. Ndugu yenu mimi sijambo na ninafuatlia kwa umakini kozi ya kiingilishi mliyonilipia, ila ticheri kasema twisheni itanisaidia zaidi, gharama ni elfu 41 mia tano tu, mnipe mapema leo maana wikend imekaribia