Hakuna km mama[emoji813] heshima kwa wamama wote.Mpaka Simba unamuona amekua mkubwa kuna majaribu mengi anakuwa amepitia. Kwanza, Simba Huzaa maeneo hatarishi ambapo kunakuwa na Wanyama wengine pia wakali, na Adui yake mkubwa ni Fisi.
-
Hivyo watoto wengi huliwa na Fisi. Pili, Changoto ipo pia Kwa Simba Dume ambayo nayo huharibu Vizazi kwa kumlazimisha Jike kutoa Mimba hasa pale ambapo Mtawala mpya anapokua ametwaa miliki mpya, lakini pia Tabia ya Kuuwa Madume nayo ni changamoto katika Kuleta uzalishaji.
-
Simba Jike anaweza kuamua kuwalinda watoto wake kwa nguvu zote Lakini ishu Huja, Kama ataamua kukaa na watoto wake, atanyonywa Sana. Atahitaji kuwinda, Akijifanya mgumu watoto watakosa maziwa....Akienda kuwinda ndio Hapo Fisi huwapitia.
-
Ukijiita Simba inabidi uwe mpambanaji Haswa.
-
N.B: Katika Picha Mtoto amebebwa na Sio Analiwa.View attachment 931814
Hili ndio la maana we mzee tigo pesa tu yaani tigo pesa udhamini wa mahela tuuu
Kabisa mama ni mama tu hata awe vipiHakuna km mama[emoji813] heshima kwa wamama wote.
[emoji38][emoji38]sema ss simba dume kutaka mimba zitolewe nayo inshu [emoji36] [emoji36]
Tutaenda sawa tuu usjaliHahaha sasa unajua ndio kabila lake
Usijari Shunie kdg kdg, huku tukimuomba Mungu na Roho mtakatifuNitakuelewaje sasa mm jamani
Mary kawa wifi yangu tena na wakati mm shangazi yake
Anavuruga ssMary kawa wifi yangu tena na wakati mm shangazi yake
Anavuruga ss
bee
yamekua hayahaya tuanze vita
hahahha vipi[emoji38][emoji38][emoji38]dah..
huyataki?yamekua haya
Rafiki usiwe na wasiwasi nitakupeleka china![emoji16][emoji16][emoji16]Flat[emoji16]
Asubuhi njema na kwako kipenziWapendwa muwe na asubuhi njema na siku yenye baraka.
Waswahili husema "asiefanya kazi na asile"