Unataka kunipa nini mamalai?
Nikufuate chemba ama?Na aone Lyon
Nikufuate chemba ama?
Hapana...Kufanyaje.....wewe mwaga chips kwenye watoto
Joto kali naruhusu upepo,Gauni linapulizwa na upepo , toa mikono kichwani wewe..
Marahaba..Joto kali naruhusu upepo,
Shkamoo.
[emoji38][emoji38]watapofuka,!Marahaba..
Ila ujue watoto wameona faragha ya mama yao
Hell...No[emoji38][emoji38]watapofuka,!
Ni jinsia gani jamani mama mtotoMpeni tu[emoji23][emoji23]
Nimekumiss wajina wangu[emoji134][emoji134]..
Waungwana hamjambo jmn,?
Pakuanzia ss ndo mtihani
[emoji23] [emoji23] watt wa kulala nao chumba kimoja baba na mama mkiamsha popo nao macho kodo[emoji41]Hell...No
Watoto wa sasa hivi wamelaaniwa..
Wanaangalia mbuye kabisa...wala hawaogopi
Wallah,,nimekumiss pia nimeshindwa hata kutekeka imebidi nichomoke kidogo[emoji38][emoji38]Nimekumiss wajina wangu
Salama kbs kwema. ?Za week end Makapuku
Mkuu
Jana ulizima nini?
Mtoto akiwa na mwaka na nusu usilale nae tena.m[emoji23] [emoji23] watt wa kulala nao chumba kimoja baba na mama mkiamsha popo nao macho kodo[emoji41]
Kwema kabisa RafikiSalama kbs kwema. ?
Mimi ndio napata supu haka kentuki...Bana weee ,ndio naamka SAA 12 hii