Siku nyingi zijaweka nyimbo za Jumapili, isiwe taabu maana bando nalotumia ni la manati nina pasiwedi ya jirani yeye ana waifai so akilala najidownlodia mavitu
Nakuwekea songi hili kwa niaba ya aunt yangu Shunie binamu, Tumosamarybaby , Numbisa (asante kwa somo la kikwapa, viatu na mambo yetu ya asili). Nimewataja ninyi maana ni watu wazuri na manlifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Mndali ndanyelakakomu nimekuona mdau, longitaimu hujaonekana ila ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati, asante anko Lyon Lee , ningendako , Behaviourist muzee ya kupenda chura, mtu chake kula monde mkuu jtatu siku ya kazi na wewe mkazi wa Kigamboni unayetaka kwenda Znz