We ningendako dizaini kama sikuamini sikuamini hivi! Dada wa bamkubwa wa kufikia ambae automatically anakuwa ni aunt yangu ndie mama ake na
Tumosa! Huyu aunt kanipa jukumu la kumchunga binamu yangu kwa sababu bado ni underage, she's only 15 kwahiyo watch out!!