Siri ya papai katika urembo wako
Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri
kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali.
Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na
kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili.
Bidhaa ambazo zimekuwa zikitengenezwa kwa kutumia tunda la papai ni
pamoja na sabuni, lotion, tona, moisturiza, facial peels na nyingine
nyingi.
Ukitumia facial mask ya papai utakuwa na sura nzuri ya asili na kukupa
uonekanaji mzuri wa uso wako.
Facial mask hii huweza hutumika kwa watu wa umri na aina yoyote ya ngozi