Makapuku Forum

Mbona alikuwepo asubuhi mbona
Anaweza kuja jioni pia



Mke mweee
Shunie kuna mgeni wako huku
Hapo kwenye rangi unamaanisha nini Tumosa?! NI kwamba mke mwenzako, au?! We dada Shunie, unao wangapi humu? Mi kama binamu yako naumia nikiona wapo wengi bhana...! Mimi nimemwa-approve Wick tu hata kama hana hela manake ndie pekee anayeweza kumtoa nduki Malcom Lumumba kwenye huu mtaa!
 
Usiwe na wivu kaka chige
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…