Kulikuwa kheri kabsa binamu,,,naona bado tunaendelea na rekodi yetu ya ushindi kwenye ligi kuu,,,Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hiyo buku jero ajishindie ABJ tu binamu mm naitaka na mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Yanga timu mbovu sana, umeuona mpira unaopigwa pale Msimbazi? Mtu juzi kapigwa tano kwa taaabu sana, Yanga wakataka kucheka ila nao wakakumbuka walichezea mkono miaka ila, wakaa chini ila hawakufa
Kheeeee
Kumbe mambo ya kula uliwe binamu basi najitoa
Hahahaha hamna jipya msimu huu simbaMmeanzaaaa yanga kama arsenal makelele
Binamu kumbe Msimbazi,,,aiseee...Yanga timu mbovu sana, umeuona mpira unaopigwa pale Msimbazi? Mtu juzi kapigwa tano kwa taaabu sana, Yanga wakataka kucheka ila nao wakakumbuka walichezea mkono miaka ila, wakaa chini ila hawakufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miminimkucheka akaalimasanaNi nani huyo mondray
Pole sna kwanini ulijiita hivo?nilichangia nyuzi ya siasa nikapigwa ban
Nmekumiss pia jamani[emoji8] [emoji8] [emoji8]Marhaba binti mpole,,,haujambo jaman??
Nilikumiss sana,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamooo binamu.....sasa ukutane na aliyekeketwa, kulisisimua kovu sio kazi ndogo
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]...nadhani hii namba waongeze iwe 920 maana ninamjua vizuri sana na kanipa raha sana enzi zangu sijaamua kutulia na mama yenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ABJ ulimpa nn binamu lakini...wewe ukishinda utaila bure, mimi nataka ABJ aishinde ili nimpongeze na ailipe kwa namna nyingine. Ushakuwa mtu mzima sasa hivi jiongeze, jitoe kwenye hili shindano wewe ni ndugu yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiku mwema wadau
Ambaye hajaingia ndani aingie saa hizi