Nipo anko, mzima lakini? Ulipokwama uliweza kutoka naamini.
mi ni kapuku tu, kwanini Shunie una wasiwasi na mimi?Mku we ni nani
Shikamoo kisimiView attachment 910721
Marhaba binti mpole,,,haujambo jaman??Shikamoo kaka yngu
Hahaha.....sasa ukutane na aliyekeketwa, kulisisimua kovu sio kazi ndogo
.....sasa ukutane na aliyekeketwa, kulisisimua kovu sio kazi ndogo
Watu na vipaji vyaoView attachment 910729
Watu na vipaji vyao vya kuzaliwaView attachment 910738
NILITUMIA JINA LANGU,PICHA YANGU NA MARA YA MWISHO ILIKUWA KIPINDI CHA UCHAGUZI KILE 2015 SIKUWA HATA MAARUFU MKUU SIO RAHISI KUNIKUMBUKAJamani nijue tu I'd yako kongwe mkuu wangu samahani lakini
Hahaha
Kwema binamu?
Binamu shikamoo nimekumiss mm naomba nyimbo ya choko ya tecno
Kulikuwa kheri kabsa binamu,,,naona bado tunaendelea na rekodi yetu ya ushindi kwenye ligi kuu,,,Yanga..kwema sana, good to see you here binamu, hoping kila kitu kiko sawa na kupotea kwako kulikuwa na kheri
NILITUMIA JINA LANGU,PICHA YANGU NA MARA YA MWISHO ILIKUWA KIPINDI CHA UCHAGUZI KILE 2015 SIKUWA HATA MAARUFU MKUU SIO RAHISI KUNIKUMBUKA
..wimbo unaitwa choko? Ni kwa kiswahili au lugha gani aunt yangu?
BTW asante kwa Je wajua, unajua nazifagilia hizi dondoo kwa sana tu na zinalifanya hili jukwaa liwe sehemu poa kuwepo.
Jina la huu wimbo usilitafasiri kwa Kiswahili cha anko wangu, utashindwa kuusikiliza na kuufurahia kama aunt yangu Shunie anavyoupenda. Jamani atakaeyemuona ABJ mwambieni huu wimbo na yeye ausikilize kwa niaba yangu aje anisimulie maana kesho ni furahiday huwezi jua anaweza kujishindia zawadi toka kwangu maana nina buku jero hapa naliona linashangaashangaa sasa akipatikana mwenye shanga analilamba
Kulikuwa kheri kabsa binamu,,,naona bado tunaendelea na rekodi yetu ya ushindi kwenye ligi kuu,,,Yanga