@abj umesikia ?Nyanya.
Nyanya ni kiungo kizuri kwenye vyakula mbalimbali, lakini pia ni chakula kinachosaidia kupigana na saratani. tumia kama mboga zingine, hasa kachumbari ni nzuri iliyotengenezwa na nyanya. tumia kama diet.
Nimeskia baba nitazingatia@abj umesikia ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!....Binamu kwani akinitafutia yeye kuna shida gani?Kupata nataka upate ila asikutafutie yeye mwambie binamu obe labda ndo akutaftie
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji3][emoji3][emoji3][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Etiii anaofiaa ntaonja kabla ya kukupatia ...make ni test before transforming[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!....Binamu kwani akinitafutia yeye kuna shida gani?
[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Etiii anaofiaa ntaonja kabla ya kukupatia ...make ni test before transforming
Shikamooo mdogo wangu[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji33][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asa we si binamu chura unataka ya nini?
Ndo mke wangu alivoo[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Shikamooo binamu[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Marahaba binamu, kaka yangu Shilulu yuko poa?Shikamooo binamu
ila mkuu si kweli huwa unatest kwanza mitambo?[emoji38][emoji38][emoji38]Ndo mke wangu alivoo
Hahahahah we hayaEtiii anaofiaa ntaonja kabla ya kukupatia ...make ni test before transforming
Hahah marhaba dada shikamooShikamooo mdogo wangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mfyuuu kwahiyo nawewe unakubali kufundishwa ujinga
Mme wangu hana tabia mbaya kwahiyo sitaki kabisa ajaribu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!....Binamu kwani akinitafutia yeye kuna shida gani?
Nakupendaaa ujueee...uzuriii mm na wewe mioyo imetafutanaHahahahah we haya
Ntafanyajeee anko nikimuachaa mataa ananishtakiiiMfyuuu kwahiyo nawewe unakubali kufundishwa ujinga
Nakupenda wewe mwanamke shahidi cha katuniiMme wangu hana tabia mbaya kwahiyo sitaki kabisa ajaribu[emoji12][emoji12][emoji12]
Ntafanyajeee anko nikimuachaa mataa ananishtakiii
Nakupendaaa ujueee...uzuriii mm na wewe mioyo imetafutana
Aah kwahiyo unamonea huruma kwani ye hajui anachokifanya..[emoji53]Nakupenda wewe mwanamke shahidi cha katunii