Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]exactly my dear,huyo bwana wa mtandaon ukimuomba ya vocha fasta unajikuta ushaanzishiwa uzi. Bora wa laivu laiv hana pa kulalamika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wa kuishia nao jukwaani tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu Obe utuanzishie darasa la sauti wengine tukiimba hatina tofauti na chura akikoroma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…