Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwangu siku zote zipo sawa
 
Kapicha kamenijia,zoezi la walala [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...mara ya mwisho kulala masaa 7 sikumbuki. Mimi ni mtu wa masaa 4-5 yakijumuisha na lile zoezi la walala uchi.

hapo kwenye game sasa, ninacheza sana Candy crush, kama ABJ anapenda anitumie namba ya simu nimuinvite

Makala nzuri asante
 
[emoji125][emoji125]daah kweli kiswahili kigumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...ningeshangaa kwa kweli? kwa hiyo haunaga hata siku yako moja? Kiswahili hiki kinaweza kutatanisha, namaanisha hivi, huwa haunaga siku zako? yaani wewe siku zote ni sawa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…