Aaaah, sikukataa bwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salamu hiyo huwa inawafanya watu waogope na wasiwe huru kwenye kuzungumza bwana. Ndiyo maana humu ndani mara chache sanaaa
Timu gani hiyo,
Lipuli au Sengo ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....hizi salamu unaweza kukuta mjadala unashindwa kunoga sababu ya hizi shikamoo au kama watu wanavyomuitaga anko wango Lyon Lee 'Mkuu' mjadala ukishaanza na utangulizi wa maneno ya namna hii unakosa ladha fulani hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] Sawa anko nimekuelewa Obe kuanzia ijumaa mpaka jumapili hapokei shikamoo ni hi au hellow
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wengi hawapendi shikamoo toka kwa mabintiiii
Hahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au umuite na mkuu
[emoji23] Sawa anko nimekuelewa Obe kuanzia ijumaa mpaka jumapili hapokei shikamoo ni hi au hellow
Nitakufundisha ktu ganMimi hapa utanifundisha!?..
Subiri ntakapokusomea mashtaka ykoMefanya nini tena mama!!!...
Ni njema kabisa...marhaba binamu, za leo mtu wangu wa maana
Ndio kwao Lushoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....kuna mgahawa upo karibu na keep left ya samora, mishkaki na chipsi ya nguvu, nyama nilikuwa nakula kwa uangalifu, Iringa huwezi jua unaletewa nyama gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au umuite na mkuu
Wamekulandisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Halafu binamu ww na anko malcom mnapenda nyama kama mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikujibu uniite naona mapenzi yameshaanza kumvuruga
Huo mfano sijauelewaa
Oooh sawa mkuu......ilikuwa timu moja ya jeshi, ndo ilikuwa mwanzoni kuanzishwa sasa wakawa wanahitajika wazee wa miundombinu, sikukaa sana nikatoka kusaka maisha sehemu nyingine