MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,045
Gereji ilikuwa Daslam bwana.Anko huko iringa sipajui ujue
Kwako wewe maana utanimis sana humu ndani
[emoji23][emoji23] Miami kuna hatari yakee!!.. Vibanda vya CCM na mbuzi katoliki usisahauStereo pana ugali na nyama hatariiii
Ukitoka hapo unaenda Miami, unaenda Shooters halafu unamalizia Club La Parte
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbeee nikajua iringa etiGereji ilikuwa Daslam bwana.
Miaka ya 2006 ndiyo nlikuwa napiga nyama.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nishakujibu tayari
[emoji23][emoji23] Miami kuna hatari yakee!!.. Vibanda vya CCM na mbuzi katoliki usisahau
wick siyo mhuni bwanaa.Anko nampenda mm ndugu yako hivyohivyo nampenda tu na uhuni wake nampenda tu
Kwahiyo inabidi uniangalizie siku mama hayupo nije kazia hapo hapo nyumbani shem!.. Fanya hivyo mzee!.Mambo ya kumkojozaa gest za elfu sita dada kwetu hatutakiii ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona ebu ukoWameshibana haswa
Nasikia kijana ulikuwwa na chimbo lako linaitwa kwa Rita..Hahahaha[emoji23][emoji23] Miami kuna hatari yakee!!.. Vibanda vya CCM na mbuzi katoliki usisahau
Anko usimtetee kabisawick siyo mhuni bwanaa.
A gentleman per excellence
Mfyuuuu sijakuomba msaada[emoji4]...ninayo hapa nimeshaitafuna haina utamu tena, unataka nikutunzie au unaweza kunitumia namba yako nikakutumia
Huyu anakupizaa vyenga kulikoniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe mbona umeguna sana unapita kwenye vibanda vya wahaya
Kwahiyo inabidi uniangalizie siku mama hayupo nije kazia hapo hapo nyumbani shem!.. Fanya hivyo mzee!.
Ebuu nipumzishe basii[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Af hata sipajui kwa wahaya eti!.. au ndio pale Twiga hotel!?..🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe mbona umeguna sana unapita kwenye vibanda vya wahaya