#Kumbukumbu
Tarehe kama ya leo, 11 mwezi September, 2001 watu wanaohusishwa na Kikundi cha Kigaidi cha Al-Qaeda kwa kutumia Ndege nne walifanya shambulio katika Majengo pacha ya World Trade Center katika Jiji la New York.
Kufuatia shambulio hilo zaidi ya watu 3,000 walifariki dunia na wengine wengi wakijeruhiwa na kuacha na ulemavu wa kudumu.
Pia Ndege ya 3 ilishambulia jengo la Pentagon lililopo Mji Mkuu, Washington D.C na Ndege ya nne ikishambulia huko Pennsylvania.
Taraji P Herison anazaliwa tarehe kama ya leo
Muigizaji nguli kutoka USA ambaye ameigiza movie nyingi ila Empire series ndo imezidi kumuweka kwenye ramani