Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] arogwe tu hakuna namna

....yaani dada ya anko wangu ambaye bahati mbaya sana ni mama yangu anakushukuru sana kwa kumsaidia mdogo wake akaachana na mpika vitumbua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu ebu niache
....yaani dada ya anko wangu ambaye bahati mbaya sana ni mama yangu anakushukuru sana kwa kumsaidia mdogo wake akaachana na mpika vitumbua
 
Hi [emoji113] [emoji113] binamuu
Lup u[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

...yaani umenisalimia vizuri sana, unatumiaga kinywaji gani? umenifurahisha sana, sasa hapo njoo pembeni huku tusalimiane kiarabu makiss matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…