Asante aunt yangu mwenyewe Shunie kwa 'Je Wajua' unalifanya jukwaa liwe sehemu nzuri kuwepo. Si unalijua hilo eeeh?
na ninakupenda, usijifikirie just sema unanipenda pia Furahiday iwe nzuri, kama kawaida yangu, ofa zangu zinasimama hazibadiriki, kunywa na kula unavyotaka.
Nilifurahishwa na kipengele za michezo zaidi na habari za kiuchumi na hasa Apple mafanikio yake mwaka huu.
Mzee mwenzangu leo sina hata hamu ya ulinzi, nina vidonda sio mchezo, hii michezo ya kudownload pesa ikenitokea puan, nimepigwa pigo moja la jet lee, chali hata mguu hauinuki