Timamu akili zanguuWe Dada una kichaa
Ndio maana yake...! Plus kutafuta hela tuuu ili mkulano uwe mzuriWouzeeeerrr🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 mambo ya kukulana tu T
Woyoooooo kukulana rahaaa jamani muwe mnapendana jamani 🤦🤦🤦kila mtu ana hisia na mwenzieNdio maana yake...! Plus kutafuta hela tuuu ili mkulano uwe mzuri
Timamu akili zanguuhauzimi sh.shunie nimeweka kifupi hakuna atayeelewa ni mimi na wewe tu
Mimi nimeelewa.Timamu akili zanguuhauzimi sh.shunie nimeweka kifupi hakuna atayeelewa ni mimi na wewe tu
Sanaaaaaaa! Ila kama ndio vile tena..Woyoooooo kukulana rahaaa jamani muwe mnapendana jamani 🤦🤦🤦kila mtu ana hisia na mwenzie
MmmhWoyoooooo kukulana rahaaa jamani muwe mnapendana jamani 🤦🤦🤦kila mtu ana hisia na mwenzie
Sitakiii sio shangazi yake mmMimi nimeelewa.
Sh= shangazi au auntie
Sanaaaaaaa! Ila kama ndio vile tena..
Mbona ukimuona mtu hata unywele hausimami..
AsanteeeeeeeeeeeSitakiii sio shangazi yake mm
Mmmh
Asanteeeeeeeeeee
Anakuzeesha kwanza..Hivi T mm nafanania kuwa shangazi yake jamani
Na kingine kuhusu weed kwenye bed inakuwaje
Mambo ya hapa na pale tu kipenzi changu, ila nikipata nafasi kama hivi tunarahatupika pamoja.Asante maka fahamu zaidi ndio kwangu ww si umeadimika humu ngoja nimtafute andrew
Shauri yako, hujui adabu ya pombe wewe!!Sio kwa shunie mm maka akee nikilewa najiamini sana
Anakuzeesha kwanza..
Wewe binti mdogo na ubichi wakoo
Ahsante!!Kwenye jiji la San Fransisco nchini Marekani unaweza ukalipwa dola 21,250 (milioni 48 za kitanzania) / mwezi kwa kufanya kazi ya kuondoa vinyesi kwenye mitaa ya jiji hilo.
Jiji la San Fransisco kwa sasa linakabiliwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na watu kujisaidia hovyo kwenye njia za watembea kwa miguu na inaripotiwa tangu mwaka huu uanze zaidi ya watu 15,000 wametoa malalamiko ya kukutana na vinyesi kwenye mitaa ya jiji hilo ambapo imepelekea meya wake kuunda timu ya watu sita inayofahamika kama 'Poop Patrol' ambao wao kazi yao itakuwa ni kuondoa vinyesi mitaani kwa mshahara wa dola 21,250 (milioni 48 za kitanzania) View attachment 859043