Makapuku Forum

Muzik: Jumatatu 3 kwa 3

...ninakusalimia wewe ambaye wikend ilikuwa kama ulivyoipanga na hata kama ilipanguliwa usivyotaka bado salamu yangu inakufikia hata kama ni kwa kuchelewa. Sijambo, ndiyo sijambo sana hata kama hukuuliza lakini hakuna namna niache kukueleza maana wewe ni mtu wa nguvu, unapiga bass na miguu.

Muziki sasa jumatatu mambo huwa matatu matatu, yanapandana tu na hapa nawasalimia hata wageni niliowaona.

 
Ahaaa shunie wamekuibia umebaki kukuna eggs tu
Nimecheka sana.... ila daah kama mchizi kaibwa Shunie wake, basi ana hasara kubwa sana! Mana yule demu si wa viwango vya nchi hii!
Hahaaaaa kiongozi jamaa kachukuliwa makinikia yake mchana kweupee.
Hahaaaa boya tu walimchukulia bila mawazo
Bwana bwanah kilio cha samaki nayakumbuka tu mautamu yakee ....
Usichekeee mkuu
Pole sana T nae kabaki analia tu
Na yeye kumbe ??
Aiseeeee
 
Wouzeeer wouzeerrr hakuna kama mnyama
Jpili imekaa vizuri sana, natafakari kipigo cha Manyu huku nikiburudika na lite sababu Chelsea kampiga mtu jana kwa taaabu sana. Na Simba ikiongeza kombe lenye heshima kubwa duniani.
This is Simba brazaz and sistaz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…