Binamu tuwekee picha ulivyokuwa unaogelea...mimi huwa navaa bukta, ila mama yenu ndo tule tunatompendezaga na kunifanya nipende kuogelea na kuogelea naye tena, tunaogelea halafu tunaogeleshana, mambo ya beach
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi na mm ntavaa bukta...mimi huwa navaa bukta, ila mama yenu ndo tule tunatompendezaga na kunifanya nipende kuogelea na kuogelea naye tena, tunaogelea halafu tunaogeleshana, mambo ya beach
Mm nta vaa buktaMke mwee nenda kapimwe usije ukatia aibu kutuvalia mtepeto
Mm nta vaa bukta
NdiwoooooBukta ya baba wawili eenh
Vaa tucheke msepetoNdiwooooo
Binamu tuwekee picha ulivyokuwa unaogelea
Zamani watoto tulikua tukiimba "athumani kavaa msulupwete"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nilikuwa na bukta yangu ya vijana wa Msimbazi
[emoji48] [emoji48]Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Siwezi kujua,watoto wenyewe hawa wanaongea inglishi na frenchi ,wataimba kweli hizo nyimbo?Sasa hivi wanaimbaje
[emoji48] [emoji48]
Hawaimbi wala hazijui hawajui ukuti wa meme kombolela au kibaba babaSiwezi kujua,watoto wenyewe hawa wanaongea inglishi na frenchi ,wataimba kweli hizo nyimbo?
Fungua bhasMchuchu
Fungua bhas
Hahaha, wao ni PS, cartoons networkHawaimbi wala hazijui hawajui ukuti wa meme kombolela au kibaba baba
Hahaha, wao ni PS, cartoons network
Wewe bhana,fungua kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndio unaponiua yaani huo ndio wimbo wako mm bibi ujue kama mzazi wako na mitoto juu