Welcome back mkuu..Nzuri tu
Nasikitika siku hizi maisha yanebadilika sio kama zamani ila mwisho wa mwaka nikitimba Green City naweza nikakutafuta........
Uwe na Jioni Njema
..............
Tumo unatafutwa huko KT...[emoji3][emoji3]Umeshindaje
Wengine wako wapi,wanaangalia wodikapu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Natafutwa na nani mm jamanTumo unatafutwa huko KT...[emoji3][emoji3]
Kuna mtu anajiita sijui Muthani..?Natafutwa na nani mm jaman
Ndugu zangu c mmerudi wote huku
Au ulishapata ndugu huko nini? [emoji3][emoji3][emoji3]Natafutwa na nani mm jaman
Ndugu zangu c mmerudi wote huku
Mmmh[emoji15] [emoji15]Kuna mtu anajiita sijui Muthani..?
Cna ndugu mwenye jna hlo shemela anasemaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au ulishapata ndugu huko nini? [emoji3][emoji3][emoji3]
Anasema sijui ulimpa email fake...! [emoji3][emoji3][emoji3]Cna ndugu mwenye jna hlo shemela anasemaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wako KT labda...Mkuje jamani
Mmeshalainisha vyuma inatosha
Mje mpumzike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijawahi shemela labda kanifananishaAnasema sijui ulimpa email fake...! [emoji3][emoji3][emoji3]
Kule kubaya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wako KT labda...
KT ndio wapi huko?!Kule kubaya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] tulikumiss mpenz karibu tenaMie sijambo jamani
Jamiiforum ilipotoweka hewani tulikuwa tunapoteza muda JamiiForums.comKT ndio wapi huko?!