[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unataka pochi nene tu au?
Ni kweli mapenzi ni starehe, Ila uvumilivu muhimu piaHapana sio pochi nene mapenzi ni starehe sio kero
Ni kweli mapenzi ni starehe, Ila uvumilivu muhimu pia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] acha hizo,Inategemea na uvumilivu na uvumilivu sio uvumilivu wa kuvumilia mashine jitu linakuharibu tu ukiuliza eti uvumilivu hapana aisee
Hajanitafuta jamani mwambie namsubiri anitafute mmHivi mama alikutafuta
Na sie tutaweka [emoji777] katika jawabu lakoTutapigia mstari jawabu
Asipoelewa tumpeleke tu memkwa[emoji23]Kaelewa vizuri sana
Tutazika tu, kuchimba kaburi sio kazi.Hahhahah watakufwa
Nina tende zako km kilo 10 hiv, siku ukipata nafasi uje kuchukua.Woooooozeeeer
HatujamboHamjambo wakuu
Apia!![emoji23]Hahahahah hatutakufwa hata
Hizo zimenishinda shunie mmNina tende zako km kilo 10 hiv, siku ukipata nafasi uje kuchukua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutazika tu, kuchimba kaburi sio kazi.
Duh!! Hilo lote lake!!?[emoji23]Mxieew
Asipoelewa tumpeleke tu memkwa[emoji23]
Huko nyuma hakuwa hivi huyu[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi umeranduka hivi nani kakuharibu we mdada
Huko nyuma hakuwa hivi huyu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Aahh!! Tanga hamna hizi eeh!?Hizo zimenishinda shunie mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah memkwa
Zipo lakini sijawahi kula na wala sizitamani huwa nakutana nazo sana tuAahh!! Tanga hamna hizi eeh!?