Ha ha ha ha ha... Mimi wasi wasi wangu Usije ukaja kudai kunyonya kwa kisingizio cha utoto.
Nachokuaminiaa anko ni hapo huwa unanizunguka lakin kwa aunt yako sijawah kusikia au unafanya kimya kwa siri kubwa ??
...huyu Lyon Lee ni anko wangu sasa baba yake ndo babu yangu mimi. Alikuwa mfanyakazi wa EAC na mimi ndo mrithi wake ila watoto ndo wasumbufu wananionea tamaa mimi kuwa mrithi wa babu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na leo wewe ni yupi eti
Mh....ha hahaha, baby ni jina mnaitana mkiwa bar, aunt yangu she got ahead of herself akalihusianisha baby na mambo ya mapenzi kumbe ndugu kuitana baby ni kwa sababu mimi ni mtoto na yeye ni aunt yangu. Ujumbe wangu umefika nyumbani nadhani, utapunguza maswali sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii itakuwa ngao ya maji
Ndo ngao hzo omba binamu akutofautishieSielewi mie jamani jana alikuwa mwingine leo naona mwingine
Ndo ngao hzo omba binamu akutofautishie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaki hata kutofautishwa usikute binamu mwenyewe kama sisi tu
Sasa na ww unashindwa kumgundua aliekuwa anakukula na mdogo wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sitaki hata kutofautishwa usikute binamu mwenyewe kama sisi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa na ww unashindwa kumgundua aliekuwa anakukula na mdogo wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mfyuuuuuuuuu
Na yy kama sisi tuKweli mke mwee we jana haujamsoma binamu kwenye maandishi yake yaani hajui nani ni nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na yy kama sisi tu
Hawawezi fanana kila ktu mke mweee lazima kuna tofauti na anaeweza igundua kirahisi ni ww hebu tusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sielewi mie hivi hata kama wewe kweli utajuaje jamani