Binamu asanteni sana kwa kunipa kaka jamani mbarikiwe sanaaa...mjomba, nikisema mimi kuwa ni uongo wakati ni kweli alikuita kaka nitaonekana nawafitinisha sasa mimi nakuacha uamini ulichosikia. Tena kuna mengi acha tu, kuna siku alikuita eti wewe ni mdogo wake yaani nilijifanya sijui kusoma nikamuomba yule tolu anisomee. Sikuamini na hata wewe ukitaka unaweza kujifanya huamini ili maisha yaendelee maana aunt yangu mimi sipendi kabisa kumkosea
Hapana sijafahamu babu yake shunieSasa umefahamu mjukuu wangu eeh?
Mm sishangai nashkuru kwa kunipa kaka...shangaa sasa hata wewe? Anakutafuta uongee apate sababu
Binamu asanteni sana kwa kunipa kaka jamani mbarikiwe sanaaa
Binamu asanteMuziki: Nipe Nikupe
...najihisi kukosa kitu na sijajua ni nini, naamini nikishakusalimia Kapuku wewe unayepafanya hapa kuwa sehemu nzuri kuwepo nitakumbuka. Sababu ni moja tu, nitake nini hapa nikose, nitapata mengi, nitajifunza mengi sababu hapa kuna watu 'exceptional' wa tofauti wanaotofautiana kwa mengi na tofauti hizi ndo zinalifanya jukwaa hili kuwa la kipekee. Asante wewe unayekuja hapa na kutuongezea ufahamu. Maisha ni kujifunza.
Muziki sasa, nisikuchoshe maana nisijifanye nina cha kuandika ilhali sina nakuacha uburudike na muziki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani salamu za usiku ni za kuchelewa kurudiSalamu za usiku mbona binamu, au umechelewa kurudi kwako?
Yaaaan ndo ule usemi wako napouonaa umuhimu wake ..wivu ninao ila roho inasita ......mjomba, nikisema mimi kuwa ni uongo wakati ni kweli alikuita kaka nitaonekana nawafitinisha sasa mimi nakuacha uamini ulichosikia. Tena kuna mengi acha tu, kuna siku alikuita eti wewe ni mdogo wake yaani nilijifanya sijui kusoma nikamuomba yule tolu anisomee. Sikuamini na hata wewe ukitaka unaweza kujifanya huamini ili maisha yaendelee maana aunt yangu mimi sipendi kabisa kumkosea
Nimefurahi sana kupata ndugu jf....karibu, nikushukuru wewe kwa kukubali kuwa na kaka ambaye bahati mbaya ni mjomba wangu kabisa
Ulininongonezaaa...niling'atwa ulimi hivyo sikusema labda kama niliandika
Ushanipa sababu...shangaa sasa hata wewe? Anakutafuta uongee apate sababu
Kaka akee shunieYaaaan ndo ule usemi wako napouonaa umuhimu wake ..wivu ninao ila roho inasita ...
Ntafanyajeeee sasa binamu
NtafanyajeeeeSawa kaka angu nimekuelewa nashkuru jf kwa kuniletea kaka
Nambie dada ke leeKaka akee shunie
Utafanyaje nini wewe si ndio unataka udada na ukakaNtafanyajeeee
Hivi madada uliokuwa nao hawakutoshi eenhNambie dada ke lee
Mm au wewe...ila utakuwa udada wa kukulanaa kawaidaa ...Utafanyaje mini wewe si ndio unataka udada na ukaka
Hawaweziii kutoshaaHivi madada uliokuwa nao hawakutoshi eenh
Lini nimekuita kaka mie anko wako muongo muulize hata tumosa hapaMm au wewe...ila utakuwa udada wa kukulanaa kawaidaa ...
Ila ulitumia kigezo gani jaman kuniita kaka ...kwamba mm mzee au
Kwahiyo kama hawatoshi ukaona mm ndio nafaa kuwa dada ako eenhHawaweziii kutoshaa
Anko kwelii kaniingizaa chakaa ??Lini nimekuita kaka mie anko wako muongo muulize hata tumosa hapa