Toka lini upendo ukawa na dizaini.... Upendo ni upendo.... Unaonyesha upendo kadiri inavyowezekana..... Yaani unatumia nyezo zote ulizo nazo kwanza kumfanya yule umpendae ajue kwamba unampenda... Pili kumfurahisha yule umpendae
Najua sijamiss vingi humu maana wikend iliniweka kitandani nashindia uji wa malimau na ukwaju.
Nawasalimia wote na kuwapongeza kwa kumaliza wikend vizuri
Najua sijamiss vingi humu maana wikend iliniweka kitandani nashindia uji wa malimau na ukwaju.
Nawasalimia wote na kuwapongeza kwa kumaliza wikend vizuri