Makapuku Forum

sawa shem, nakupa pongezz coz najua ulikua unateseka sana,
anyway mwambie tumoo akuje kwa chemba nina mazungumzo ya kutoa posa next day
Sasa shem si umfate kwa chemba akija anakutana na ujumbe wake
 
...kumbe wewe hunipendi kabisa yaani ndo najua leo, si ungeniambia mapema, me sio tu ningemfunglulia siredi, ningemwanzishia forum kabisa. jengea yeye webuside, nunulia simu ya Singsung yenye kamera na blututhi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
He he niache mama hakuna wa kunifundisha mimi nimeishi na baba angu mlezi alikuwa mnyaki si unawajua wanyaki wakija kina aunty ni kinyaki tu lazima utagusa gusa hata kimoja
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…