Binamu shikamoo naomba nyimbo ya tuma ya msondo ngoma niwekee hata audioHabari za asubuhi wadau, hoping mlikuwa na wikend njema. Vyovyote ilivyokuwa wikend basi niwatakie siku na wiki njema ya mwezi May, na FYI Ramadhan inajongea 🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumaaa ringa,ww ndo wangu kifaa tuuuma ringaBinamu shikamoo naomba nyimbo ya tuma ya msondo ngoma niwekee hata audio
Ewaaaaa mke mwee kumbe unaijua jamani hiyo hiyoTumaaa ringa,ww ndo wangu kifaa tuuuma ringa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binamu jamani naomba uniwekee na audio ndio nilikuwa naitaka sana binamu yanguMuziki: Nitumie Nisome
...nimekumbuka tu kitu miaka hiyo wakati ndo mitandao inashamiri mijini. Ilikuwa mwendo wa kupeana website ili mmoja atembelee kjwa sababu mwingine keshatembelea na kaona uzuri wa ule mtandao sasa anaaamua kukutumia nawe utembelee. Lilikuwa ni jambo zuri na limenikumbusha kukusalimia wewe Kapuku mwenzangu na kukupa hongera kwa mchana uliokuwa nao. Mimi sijambo asante kwa kutouliza.
Muziki sasa, leo ni 2 in 1 ambapo aunt yangu Shunie kaomba muziki na bahati nzuri wimbo wenyewe unapendwa pia na Tumosa mama JJ. Tuburudike na endeleeni kupokea salamu nyingi sana toka kwa BH, yule mwanamke ninayempendaga upeo.
Nimejaribu kuangalia google music (Play Music) na Pandora zote zinanipeleka kwenye video clip, hivyo shukuru kwa hichi ulichopata kwanza ni kizuri unaweza hata kujifunza mastyle ya kucheza maana nyie watoto wa siku hizi kucheza ni sifuriBinamu jamani naomba uniwekee na audio ndio nilikuwa naitaka sana binamu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nimecheka sanaNimejaribu kuangalia google music (Play Music) na Pandora zote zinanipeleka kwenye video clip, hivyo shukuru kwa hichi ulichopata kwanza ni kizuri unaweza hata kujifunza mastyle ya kucheza maana nyie watoto wa siku hizi kucheza ni sifuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nimecheka sana
Binamu ni ninii hiki jamani ulichoniwekea..ha hahhaha, hata mimi nimecheka sana maana kuna style moja ni nzuri sana ninaipendaga
Mm nmemiss huyo BH jamani hebu tuletee atusalimie mwenyeweMuziki: Nitumie Nisome
...nimekumbuka tu kitu miaka hiyo wakati ndo mitandao inashamiri mijini. Ilikuwa mwendo wa kupeana website ili mmoja atembelee kjwa sababu mwingine keshatembelea na kaona uzuri wa ule mtandao sasa anaaamua kukutumia nawe utembelee. Lilikuwa ni jambo zuri na limenikumbusha kukusalimia wewe Kapuku mwenzangu na kukupa hongera kwa mchana uliokuwa nao. Mimi sijambo asante kwa kutouliza.
Muziki sasa, leo ni 2 in 1 ambapo aunt yangu Shunie kaomba muziki na bahati nzuri wimbo wenyewe unapendwa pia na Tumosa mama JJ. Tuburudike na endeleeni kupokea salamu nyingi sana toka kwa BH, yule mwanamke ninayempendaga upeo.
Kwangu haichez mbonaNimejaribu kuangalia google music (Play Music) na Pandora zote zinanipeleka kwenye video clip, hivyo shukuru kwa hichi ulichopata kwanza ni kizuri unaweza hata kujifunza mastyle ya kucheza maana nyie watoto wa siku hizi kucheza ni sifuri
Mm nmemiss huyo BH jamani hebu tuletee atusalimie mwenyewe
Kwangu haichez mbona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila la kheri kwenye mambo ta msingi..tupo naye hapa tunafanya mambo ya msingi. Sasa hivi ninatumia simu yake, ukiona nimeandika mambo ya maana sana ujue ni yeye ila ukisoma mafindofindo basi jua ni mimi.
Hajambo na anazidi kung'aa tu na hzi mvua anazidi kurutubika tu
Ngoja nijaribishe tena...hii clip haichezi kwako, nimeitoa youtube mama JJ usinitafutie ndoto za kutisha muda huu
Anarutubuka au una mrutubisha!!..tupo naye hapa tunafanya mambo ya msingi. Sasa hivi ninatumia simu yake, ukiona nimeandika mambo ya maana sana ujue ni yeye ila ukisoma mafindofindo basi jua ni mimi.
Hajambo na anazidi kung'aa tu na hzi mvua anazidi kurutubika tu
Mh..tupo naye hapa tunafanya mambo ya msingi. Sasa hivi ninatumia simu yake, ukiona nimeandika mambo ya maana sana ujue ni yeye ila ukisoma mafindofindo basi jua ni mimi.
Hajambo na anazidi kung'aa tu na hzi mvua anazidi kurutubika tu