Makapuku Forum

Miwani yangu alichukua mjukuu nasema tena lala unono, lala salama, Jin asiwababaishe kunywa maji halafu sema sara kidogo kulinganan na imani yako, utalala mpaka the next day bila kuota mambo mabaya. Mkumbatie wako wa ndani very tight ili upate kupumua sana ina maana you can breath in and out ili uweze kusahau yale machungu na mabaya ya leo. Breath in and out holding your better behalf for so many hours or mins utalala unono. nite nite.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…