Makapuku Forum

Woyooooooo hii nyimbo ikufikie popote ulipo chaguo langu shemela mana binamu haonekani jamani angeweka


Aunt, huu wimbo ni mzuri, japokuwa muimbaji ninavyoona hakujali kutaka kujua wimbo wake uwafikie kina nani. My point is, angelenga mbali kuufanya huu wimbo uwe kwa wote (unisex), kwa sasa umekaa kwa ajili ya jinsi moja zaidi.

Ninaupenda lakini ukiusikiza wimbo wa Wonder Stevie hauna ukakasi kuimbwa na yeyote kwa yeyote wakati wowote. Inawezekana kichwa changu kina mawazo machafu muda mwingi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…