Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante shemela wa mimi, Namshukuru Mungu kwa kuniunganisha na shemela wangu shunie kupitia JF, najivunia sana kuwa na shemela kama wewe aka mama D
Asante sana shemela hata mm naishkuru sana jf kwa kutuunganisha pamoja hatujuani lakini ipo siku tu isiyokuwa na jina tutajuana na kukaa pamoja sisi ni familia moja nawapenda jamani
 
Nikizigida unataka kugundua nini jamani unaweza nikula mie maka akee unajua we ni fisi
Aahh!! Shunie akee nitake radhi bhana.

Mimi dudu langu bovu siwez kukula, umesahau kama mimi ni mwanaume wa dar!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiv kwa mfano dudu lingeluwa zima nngekukula kwani ungepungukiwa nini shunie akee!!? Hiv ungekuwa radhi kabisa kuninyima hata mie swahiba wako[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom