[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ni baba wawili binamu[emoji134] [emoji134]....h ahahahaha, safi sana. Nilikuwa nawaangalia tu mkiwa beach
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/04/229673_ec550be5bed2abc1a9097a0dea9b653a.jpg
Asante binamu kiongozi tuliyekuwa nae hatufaiTafasiri Unavyoweza: Hekima Tunu, Utawala Unapewa
Kiongozi mzuri ni yule anayeonesha njia na katika hali zote, za furaha au huzuni hawaachi wote anaowaongoza. Nimeanza na manenyo haya kwa sababu uongozi ni kuaminiwa. Ikitokea kila unalofanya unawafanya wengi wajihoji kama kweli unaaminika au unajifanyia kwa utashi wako peke yako kwa kuwa wewe ni kiongozi, basi inabidi urudi nyuma na ujitafakari. Tafasiri unavyoweza.
Tusidanganyane kuwa kila mmoja anaweza kuwa kiongozi, uongozi ni sayansi inayomfanya mmoja kujitambua kibinafsi (personal identit and self-awareness) na kutambua madhaifu yake na hivyo kutafuta suluhu ya kupunguza madhaifu binafsi (making accomodations for personal weakness). Udhaifu ni sifa ya kibinadamu, kila mmoja ana madhaifu yake lakini ukiwa kiongozi madhaifu haya hupaswi kuyatanguliza dhidi ya maslahi ya unaowaongoza.
Tabia kubwa ya kiongozi ambaye hawezi kudhibiti madhaifu yake ni kutaka kuhalalisha madhaifu yake kwa lugha za vitisho, kejeli na kujiamulia binafsi bila kushirikisha vyombo vingine ambavyo vinapaswa kumsaidia kuongoza. Tunashuhudia mengi sasa na kwa sababu ya hulka ya kiongozi tuliyenaye nyumbani inakuwa ni ngumu kuhoji kila anachofanya maana usifurahie sana kumuona kiongozi anayeambatana na jeshi/polisi kila anapotaka kukutana na wewe. Kesho ukimwambia unahitaji kuwa na hekima ataongoza na IGP, CDF na vifaru.
Binamu asante sanaMuziki: Wiki Njema
Nilikuwa na weekend ya kipekee kidogo, mvua nyingi na hivyo nikashinda ndani ninafurahi na wote walio karibu yangu na hasa yule tunayekaribianaga sana faraghani. Msichezee mvua, zina mengi na zinakuhakikishia uwepo wa neema katika nchi. Ninakusalimia Kapuku na kukutakia week njema ambayo tayari umeshaianza.
Ni jambo zuri kuwaona wadau wote wakiwa wamekuja na kutoa HI jukwaani. Wengine tupo na tunafurahi wakati wote ukiwepo wewe unayenisoma muda huu.
Muziki sasa, anko wangu alikuwa busy kidogo na mambo ya uteuzi na japokuwa ahajaniambia uteuzi wake ulikuwa unahusu nini lakini kuna vitu vya kiasili ndo uteuzi wa anko wangu huwa unaangalia zaidi.
Asante binamu ukienda jukwaa la chini msalimie maka kumiMuziki: Wiki Njema
Nilikuwa na weekend ya kipekee kidogo, mvua nyingi na hivyo nikashinda ndani ninafurahi na wote walio karibu yangu na hasa yule tunayekaribianaga sana faraghani. Msichezee mvua, zina mengi na zinakuhakikishia uwepo wa neema katika nchi. Ninakusalimia Kapuku na kukutakia week njema ambayo tayari umeshaianza.
Ni jambo zuri kuwaona wadau wote wakiwa wamekuja na kutoa HI jukwaani. Wengine tupo na tunafurahi wakati wote ukiwepo wewe unayenisoma muda huu.
Muziki sasa, anko wangu alikuwa busy kidogo na mambo ya uteuzi na japokuwa ahajaniambia uteuzi wake ulikuwa unahusu nini lakini kuna vitu vya kiasili ndo uteuzi wa anko wangu huwa unaangalia zaidi.
Asante binamu kiongozi tuliyekuwa nae hatufai
Binamu asante sana
Asante binamu ukienda jukwaa la chini msalimie maka kumi
Hahahah...ulishagundua kuwa Tafasiri Unavyoweza huwa ni siasa kwa kwenda mbele ???
Asante kushukuru
Umekutana nae wapiHalafu binamu unasalimiwa na Husobe
Amenambia nkufikishie salamu
Halafu binamu unasalimiwa na Husobe
Amenambia nkufikishie salamu
Umekutana nae wapi
Naipenda sana hii band kiwanja chao cha palm beach huwa kinabamba sana...asante kushukuru, hii ni bendi ambayo huwa nanunua CD zao orijinal, hawa na Vitalis Maembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hapo nilitaka kuuliza pia lakini nimeona nipokee salamu tu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] alikuwa anaumwa kwani....kapona huyu mpenzi wangu mwenyewe? Asante kwa salamu
Nmemkuta kwenye uzi wa kudoUmekutana nae wapi
Ooh kumbe yupo humu jfNmemkuta kwenye uzi wa kudo
Eeeh ndiwoooOoh kumbe yupo humu jf
Sawa mke mweeEeeh ndiwooo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sawa mke mwee