Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Sasa c uende jamani?
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Sasa c uende jamani?
Cjambo hbr ya kutekwaHujambo mjukuu mwee?
PouwaSawa mkee mwee kama sijaingia ukuje unitafute
Nimekuja mjukuu wangu... Mzima wewe?Woyooooooo babu akee mie yaani nimekuita jamani kumbe ulikuwa njiani nilikuwa nataka nikalae hapa miss u babu akee shunie [emoji8][emoji8][emoji8]
Miss you too mjukuu wanguWoyooooooo babu akee mie yaani nimekuita jamani kumbe ulikuwa njiani nilikuwa nataka nikalae hapa miss u babu akee shunie [emoji8][emoji8][emoji8]
Nimekuja mjukuu wangu... Mzima wewe?
Mzima mm babu jamani nani amekuteka lakini mwambie akuachie mjukuu wako nakumiss mmMiss you too mjukuu wangu
Ebu soma ulichoandika mkuuHumu noma thana panache kesha thijuisi smu zenu hazivuji
Marhabaa mjukuu mweeHere he is
Shunie umemuona
Shikamoo babu
Nimemuona babu yangu jamani nimemuita na amekuja kweliHere he is
Shunie umemuona
Shikamoo babu
Mzeewakungoa upoHujambo mjukuu wangu?
Huwa hawatekagi vikongwe... ..c eti Shunie mjukuu wangu?Cjambo hbr ya kutekwa
Ha ha ha ha ha ha... Yaani mjukuu wangu unaamini babu yako na uzee wote huu anaweza kutekwa?... Ha ha ha haMzima mm babu jamani nani amekuteka lakini mwambie akuachie mjukuu wako nakumiss mm
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera mke mweeeNimemuona babu yangu jamani nimemuita na amekuja kweli
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Marhabaa mjukuu mwee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa hawatekagi vikongwe... ..c eti Shunie mjukuu wangu?
Nipo mkuu... Za wewe!!Mzeewakungoa upo
Vikongwe babu kama mna mahela mnatekwa tuHuwa hawatekagi vikongwe... ..c eti Shunie mjukuu wangu?
Kwa nini usitekwe babu mwambie akuachie mjukuu wako bado niko nakuhitajiHa ha ha ha ha ha... Yaani mjukuu wangu unaamini babu yako na uzee wote huu anaweza kutekwa?... Ha ha ha ha
Asante mke mwee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera mke mweee