Hakiiiii mniletee faster yaan....jini linakaa kwa mtu , jiongeze tayari lishaingia ndani ya ngozi ya aunt yangu. Kama wajua kuyapunga nakuletea udi na uvumba
Popote pale ntakapolisikia lazima nisimame nilifaudu vizur[emoji23] [emoji23]...ha ahha mopao uko vizuri sana, hilo jisongi limetulia
Leta mkuu, mie ndio kiboko wa jini maimuna, subiani, makata, sharif, sijui jini mahaba nakadhalika.....jini linakaa kwa mtu , jiongeze tayari lishaingia ndani ya ngozi ya aunt yangu. Kama wajua kuyapunga nakuletea udi na uvumba
Nmekuhamu kichizi damu yangu.Me niko poa maka akee
Aah!! Ahh!! Naongea na simu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] maka akee unaongea na mm au
Ngoja nije, nikushike sikio.Hakiiiii mniletee faster yaan
Ukuje basiNgoja nije, nikushike sikio.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aah!! Ahh!! Naongea na simu
Me zaidi maka akeeNmekuhamu kichizi damu yangu.
HahahahahLeta mkuu, mie ndio kiboko wa jini maimuna, subiani, makata, sharif, sijui jini mahaba nakadhalika.
Nakuja shuniee akeeeUkuje basi
Pasaka ndio hio hapo tuanze kusuka mipango mapema, niweke bond shamba au kiwanja, maana nyumba na gari siwez kuweka bondi.. Ama nivunje kibubu. Au utatoka na mr wako!?Me zaidi maka akee
Mie ndio kiboko yao, kama yee ni jini makata, mie ni makaveli chinja chinja.Hahahahah
Jamani maka pasaka sipo yaaani nimealikwa ukweni naenda kula hukoPasaka ndio hio hapo tuanze kusuka mipango mapema, niweke bond shamba au kiwanja, maana nyumba na gari siwez kuweka bondi.. Ama nivunje kibubu. Au utatoka na mr wako!?
Wacha wee, haya katoe shavu mwenzangu wee.Jamani maka pasaka sipo yaaani nimealikwa ukweni naenda kula huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka unaanzaje kuwekewa ni mwendo wa soda woiiii heineken kwakoWacha wee, haya katoe shavu mwenzangu wee.
Ila ukweni watakuwekea heineken mezani kweli!?[emoji23] [emoji23]
Hahaa... Pole ndugu yangu wee, itabidi ujivike umakaveli japo kwa siku hiyo usigide pombe ni mwendo wa juisi tu, ukibadili sana gonga bavaria.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka unaanzaje kuwekewa ni mwendo wa soda woiiii heineken kwako
Jamani ebu nitumie kwa tigo pesa unanitamanisha tuHahaa... Pole ndugu yangu wee, itabidi ujivike umakaveli japo kwa siku hiyo usigide pombe ni mwendo wa juisi tu, ukibadili sana gonga bavaria.[emoji23] [emoji23]
Ila usiwaze mwanangu mwenyewe, katoni zako 5 za heineken utazikuta sababu bajeti nishaipanga kabisa, siwez kuihujumu, nikiiharibu sana utakuta hata katoni 3.
Usijali shunie akee, ngoja nikitoka msikitini tu mambo yatakuwa bam bam... We nitumie tu pm namba unayotaka nikujazie mpunga..Jamani ebu nitumie kwa tigo pesa unanitamanisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka bwana acha kunijazaUsijali shunie akee, ngoja nikitoka msikitini tu mambo yatakuwa bam bam... We nitumie tu pm namba unayotaka nikujazie mpunga..