Makapuku Forum

Hapana jana zilikuwa mbili moja ikapigwa ban akaja na nyingine ikapigwa ban leo kaja na nyingine kanikuta na davet huko akanikuquote kila mwanamke anamquote acha kujiuza au punguza kujiuza yaan I'd zake zipo kwa ajili ya kukera watu
Hapana kwakweli sio zangu mkwe

Jana mimi jukwaani sijaingia nilikuwa busy na birthday yangu hadi nikasahau kukualika mama mkwe

Davet hakukuambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…