makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,464
- 108,573
Nitaanza kukutumia pesa kwanza, sasa katoni nakutumiaje,tafuta siku uje kuzibeba au nikuletee shunie akee.Nipe no nikutumie mie sitakagi ujinga Ila utume hela kwanza na hizo katoni[emoji57][emoji57]
Ushakunywa komoni mjomba au mataputapu!?
Hizi hazihusiani na ringtone...Khaaaa mpaka nikuje kigamboni tena
Hahaa... Kumbee!!Naguna na jibu ulilopewa na wakati mumewe nakutana nae huko kila siku kwenye majukwaa tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo hivyo
Niletee jaman [emoji3][emoji3][emoji3]Nitaanza kukutumia pesa kwanza, sasa katoni nakutumiaje,tafuta siku uje kuzibeba au nikuletee shunie akee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nimekunywa mataputapu akili zimekuja nikagundua sijalipa imebidi kiingilishi kikate haraka sana maana unawezaje kumuambia mdai kwa kizungu kuwa utalipa kesho?
Vumilia kidogo, isitoke shunie akee[emoji86] [emoji86] [emoji24] [emoji24] [emoji24], vumilia mpaka weekend.Hakiiii roho inakalibia kutoka
Hizo uniletee tuHizi hazihusiani na ringtone...
Hizi ni kwakuwa umesema umepata kiu sababu ya picha ya obe.
Ndiwoooo shululu yupo sana jf kapotea kapuku tuHahaa... Kumbee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia kidogo, isitoke shunie akee[emoji86] [emoji86] [emoji24] [emoji24] [emoji24], vumilia mpaka weekend.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] great obe...suruali au unamaanisha zipu ya suruali? Sijaona suruali zenye vifungio longitaimu sana
Hata mie, huwa naso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu huwa naitamka mfyuuu kama ilivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] great obe
HahahahhHata mie, huwa naso
Usiwe na shakaSawa nitakuja kuzindua ila Fanya baadhi ya mambo yawe sawa [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Baada ya kuondoa kile kimashineKinachofata kitakuwa 9 pipozi.
Mimi sijaona je naruhusiwa kunukuu?Plz naomba ukiona jina lako qoute...
-shunie
-lyn lee
-transcend
-makaveli
-blessedhope
-obe
-tumosa
-shululu
-mndali
-Da'vinci
Nimewamis saana jamani
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unafungua kila kitu mpaka suruali
Hahahahh