Nipe no nikutumie mie sitakagi ujinga Ila utume hela kwanza na hizo katoni[emoji57][emoji57]Katoni zipo plus laki na nusu, we fanya mpango wa hiyo voice note mie niweke ringtone kwangu.
Khaaaa mpaka nikuje kigamboni tenaUkuje kigamboni
Ntakutayarishia katoni 5 na supu ya samaki.
Inakuwaje..Helloww guyz
Utamtoa roho ndugu yangu.
Naguna na jibu ulilopewa na wakati mumewe nakutana nae huko kila siku kwenye majukwaa tofautiMbona kuguna shunie akee
Hakiiii roho inakalibia kutokaUtamtoa roho ndugu yangu.
Unafungua kila kitu mpaka suruali
Ewaaa... Nirekodie mie hii kitu shunie, uniuzie hatimiliki kabisa.. Am in lovena mfyyuuuu zako.[emoji23] [emoji23]Binamu mfyuuuuu zako[emoji57][emoji57]
Oya, nimekumisi pia kijana.Plz naomba ukiona jina lako qoute...
-shunie
-lyn lee
-transcend
-makaveli
-blessedhope
-obe
-tumosa
-shululu
-mndali
-Da'vinci
Nimewamis saana jamani
Inafungua suluali huku umevas nikitoa huo msonyo inafunguka yenyewe...suruali au unamaanisha zipu ya suruali? Sijaona suruali zenye vifungio longitaimu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa... Nirekodie mie hii kitu shunie, uniuzie hatimiliki kabisa.. Am in lovena mfyyuuuu zako.[emoji23] [emoji23]
Huwa nahisi kama pepthii vile au koka iliyozidishwa kipimo cha gesi.[emoji23] [emoji23]...huu msonyo wako unaweza ukafungua kizibo cha bia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mtume[emoji87] [emoji87] [emoji87] , makaveli nishakaa uchi, mwenzio hata boksa sina ndani[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unafungua kila kitu mpaka suruali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu huwa naitamka mfyuuu kama ilivyoHuwa nahisi kama pepthii vile au koka iliyozidishwa kipimo cha gesi.[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu weka picha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mtume[emoji87] [emoji87] [emoji87] , makaveli nishakaa uchi, mwenzio hata boksa sina ndani[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana, akaunti yangu ilihakiwa shunie akee[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23]Maka akee unaongea na simu au
Akaunt yangu ilihakiwa shunie akee.Maka akee unaongea na simu au
Mmh jamani ebu sema kweliHapana, akaunti yangu ilihakiwa shunie akee[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23]
Ushakunywa komoni mjomba au mataputapu!?...greta, it is always good to see you here, welcome back! Do you still do the witch stuff, remember!!....or you got some real stuff keeping you busy...
Ninajikumbusha tu hukupenda kuchat kiswahili umenunua apple LP na ni mwendo wa ung'eng'e tu
Kiinglish changu kimekomea hapa