Wa pm jf na mods wakutoe..Hebu nifundishe jinsi ya kuleft?
Nyagei
Hizi ndio time zenu na Archduke eeh?nawatakia usiku mwema wanafamilia
[emoji124]
Naona unamsema mtaasisi kinamna
Nyagei
Kwahiyo nikitoka kidogo tu nipo kule?No..
Huna naongelea tuu nikimkumbuka makaveli na Nyagei.. hasa nisipowaona huku kwa muda.
Bunduki gani hiyo? Ni kama ile ya kukata kona?Mwenzio kwangu nishaagiza mbwa na bunduki, sitaki masihara kabisa na goli langu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kadochooooo..
Tukiweka kis... Chako na kadudu kangu,..
Kako ndio kataonekana kadudu halafu kangu ndio kis....
Na kwako pia mkuunawatakia usiku mwema wanafamilia
[emoji124]
Hilo ndilo silitaki wacha niendelee kuright tuWa pm jf na mods wakutoe..
Just two minutes hutoweza ku access mule tena.
CR7 ndio kanifanya nichelewe kulalaHizi ndio time zenu na Archduke eeh?
Haswaa
Brooh
Habari za jioni?
We miss u too sweetheartmorning my people,nimewamiss sana jaman
Binamu shikamooAsante mdau, kumekucha tayari, uwe na wakati mzuri leo na wiki yote hii