Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Naam,Niko hapa binamu ule msala ulioniachia sio poaBinamuuu Obe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naam,Niko hapa binamu ule msala ulioniachia sio poa
Ulitaka mwenyewe nikusindikize tandika kwa wahaya afu ulipopata ulichotaka ukasepa bila kulipa ila mi nikaona isiwe acha nikulipie tu
Binamu hv huyo mama mchuchu ndio nani!? Anakaa wapi? Au ndio kinikia jipya hilo umeopoa?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binamu leo umetekwaaa dadeeekiiii huyooo ndo husna ashakwendea kwa mganga . .uko nilipakachaaa niko da safaris kuna kamrembo hapa kijichi alafu wewe ujue ilikuw twende kwa mama mchuchu
Nitakuwekea anti yangu mwenyeweBinamu Obe naomba nyimbo ya sweet mother kutoka kwa Tilda [emoji120]
Mimi nilikuwa naimbaga "sikumanza" badala ya sweet mother.Binamu Obe naomba nyimbo ya sweet mother kutoka kwa Tilda [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi nilikuwa naimbaga "sikumanza" badala ya sweet mother.
Hata ile take me by the hand ya papa wemba...nilikuwa naimba "tukubalie".
MhNitakuwekea anti yangu mwenyewe
Usijali
AhahahahahMimi nilikuwa naimbaga "sikumanza" badala ya sweet mother.
Hata ile take me by the hand ya papa wemba...nilikuwa naimba "tukubalie".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh
Makubwa haya
Hivi aliniwekea huyo mbebez wa binamu aliyehack I'd ya obe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alijawekaaa ila bhana bangii mbayaHivi aliniwekea huyo mbebez wa binamu aliyehack I'd ya obe
Ahahah bangi mbaya imefanyaje tenaAlijawekaaa ila bhana bangii mbaya
Sasa hiyo familia ya husna na binamu hata mfano wa picha sipatiLabda husna kamteka yupo naye na simu yake anayo husna
Ahahaha ni mapenzi tu ndio kilichowaunganisjaSasa hiyo familia ya husna na binamu hata mfano wa picha sipati
Sent from my tecno w1
Sio binamu nimjuayeee ...Ahahaha ni mapenzi tu ndio kilichowaunganisja