Hakunaga kitu kama hiko mautani tu ulibaki unanijua wewe itabaki hivyo hivyo haitatokea kwa mwanaume mwingine yeyoteYweeeleeeewiiiii hata mchicha ulianza kama ubuyu ...
Kwan husna na binamu walianzajee
Mpaka nambaaa ??Hakunaga kitu kama hiko mautani tu ulibaki unanijua wewe itabaki hivyo hivyo haitatokea kwa mwanaume mwingine yeyote
Nop no sio yangu niliyotoa tena nilitoa jukwaani ni ya rafiki yangu yupo znz huwa analeta biashara zake huku dar ndio waliwasiliana akampa ubuyu anileteeMpaka nambaaa ??
Ila nashukuru na mm ndo maana sikuwah kukuvunjia heshima japo nimemis [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mpaka nambaaa ??
Ila nashukuru na mm ndo maana sikuwah kukuvunjia heshima japo nimemis [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sawa kipenziNop no sio yangu niliyotoa tena nilitoa jukwaani ni ya rafiki yangu yupo znz huwa analeta biashara zake huku dar ndio waliwasiliana akampa ubuyu aniletee
Binamu uachageew maupuuziii yako niko siliasii we naona unataka hii baridiii nikumbatie mito...muziki wa mdhamini unakujia mapema ha ahahahahaha, umemiss makiss au makopakopa
Amemiss kila kitu binamu [emoji4]...muziki wa mdhamini unakujia mapema ha ahahahahaha, umemiss makiss au makopakopa
[emoji8][emoji8][emoji8]Sawa kipenzi
AhahahahBinamu uachageew maupuuziii yako niko siliasii we naona unataka hii baridiii nikumbatie mito
Yaaan weee achaaa ...na hapa libinamu linachekaaa kwa raha likisikia hivoAmemiss kila kitu binamu [emoji4]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Etiii unaonaa ni hakiii ??Ahahahah
Binamu me sitakiiii hiyo nyimbo siangaliiMuziki wa Mdhamini: Booking, Si Msafiri
Usishangae leo muziki wa mdhamini umetangulia kipengele cha muziki. Sababu moja tu kubwa ni kwa sababu mjomba wangu Lyon Lee kasema, huyu anko wangu wewe ukitaka kumuandikia usiache kusema hid my ID maana juzi kati kaangalia taarifa ya habari alipoona utabiri wa hewa kuwa mvua itanyesha badala ya kujiandaa kwenda kuwasaidia club ya Yanga kwenye mafurik yeye kafanya booking ya kimwili.
Anyway, ni mamb ya asili hayana mjita. Wimbo huu uburudike wewe kapuku na aunt yangu Shunie, tafadhari wimbo huu BlessedHope usikilize tu usiucheze hawa vijana wana kasi inaweza kukufanya usiende gym
Yaaan weee achaaa ...na hapa libinamu linachekaaa kwa raha likisikia hivo
Sio haki kabisaEtiii unaonaa ni hakiii ??
[emoji3][emoji3]Yaaan weee achaaa ...na hapa libinamu linachekaaa kwa raha likisikia hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue anko mimi nilipoona mambo ya ubuyu wa rangi rangi na halua ndo maana nikaona sina haja ya kuleta zawadi ya korosho, nikaja mjini nikaishia kigamboni
Binamu me sitakiiii hiyo nyimbo siangalii
Binamuuuuu binamuuuuuuuuu....unaweza ukarudiaaa kuuchezaa tenaaa...Muziki wa Mdhamini: Booking, Si Msafiri