Binamu santeTafasiri Unavyoweza: Matatizo Sio Vikwazo, Ni Miongozo
Hakuna siri kwamba tunapitia mambo mengi sana kibinafsi, kijfamilia, na hata kitaifa. Ndiyo, tunapitia mengi mazuri na mengi mabaya yanayotupa ujasiri, huzuni na mengine yanatufanya tukae chini kujiuliza kama njia tunayoenenda nayo ni sahihi. Njia zote tunazotumia kutaka kwenda tunapotaka si zile zilizonyooka pekee, kuna milima na mabonde bila kuyasahau makorongo na mitelemko. Tafasiri Unanvyoweza.
Wengi wetu ni watumiaji wa barabara, na barabara timamu ina alama za kukuongoza mtumiaji uwe unaitumia kwa miguu au kwa vyombo vya moto. Alama hizi kutaja chache ninazozifahamu ni pundamilia, alama ya kusimama na mwendo sahihi unaohitajika. Ndivyo na maisha yalivyo. Kuna alama za kila namna kwenye maisha na hasa ikiwa wewe ndo ushafikia umri wa kujiendesha mwenyewe. Kujiendesha mwenyewe maana yake kuna wakati utahitaji kuendeshana, tafasiri unavyoweza.
Usikwaze na alama za kukusimamisha (stop signs) hizi zipo, ziheshimu. Matatizo yawe ya mahusiano, kikazi, kifamilia, kiuchumi na kiimani kutaja machache ni alama ambayo haipaswi kukusimamisha katika kile unachoamini ni sahihi kwako na afya ya amani yako. Tumia matatizo kama muongozo (guideline) ya kukufanya ukomae na kulifikia lengo unalohitaji kibinafsi, kifamilia na kitaifa. Matatizo hayataisha na ndiyo maana umepewa kichwa chenye ubongo, yatatue uende mbele unapohitaji. Tafasiri Unavyoweza
Unaongea na mm au binamu mama d?Unashangalia wapi eti
Naongea na wewe jaman si ndio nimekuquoteUnaongea na mm au binamu mama d?
Nafanya uchunguzii yakinifuuuu ....make kuna mambo naona siyaelewiii....bi Fatma bhana alinikera bora alivyoniacha angenisumbua sana, asante kwa kutumia mbinu zako hadi akaniacha, imekuwa ahueni kwangu.
Ha hahaha, mambo ya booking, hivi kumbe na kwa aunt unafanya booking!! unamaanisha kama si zamu yako kuna mwingine? Mbona mimi nakuwa wa mwisho kufahamu jamani, hebu nihurumieni kesho Ijumaa
Leo nimekuwah kuchagua ...He he
Ok ma d ...mm leo yoyote atakayeshindaNaongea na wewe jaman si ndio nimekuquote
Nimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23]....bi Fatma bhana alinikera bora alivyoniacha angenisumbua sana, asante kwa kutumia mbinu zako hadi akaniacha, imekuwa ahueni kwangu.
Ha hahaha, mambo ya booking, hivi kumbe na kwa aunt unafanya booking!! unamaanisha kama si zamu yako kuna mwingine? Mbona mimi nakuwa wa mwisho kufahamu jamani, hebu nihurumieni kesho Ijumaa
Nimependa hilo chaguo hainaga ushemeji watu wanakulagaLeo nimekuwah kuchagua ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok ma d ...mm leo yoyote atakayeshinda
Uchunguzi wa nini tenaNafanya uchunguzii yakinifuuuu ....make kuna mambo naona siyaelewiii
Ndiwoooooooo....Nimependa hilo chaguo hainaga ushemeji watu wanakulaga
Plz we bakiii nayo tuu kuwa itakayoshindaa ndo yangu leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu weka hainaga ushemeji watu wakulage shemeji zaoNdiwoooooooo....
Wa ubuyuUchunguzi wa nini tena
Kwani nimebisha mePlz we bakiii nayo tuu kuwa itakayoshindaa ndo yangu leo
Khaaaa ubuyu umeshaisha hakuna chochote alikuwa ananitania tu chit chatWa ubuyu
Analetaa mapuuuzaaaBinamu weka hainaga ushemeji watu wakulage shemeji zao
Yweeeleeeewiiiii hata mchicha ulianza kama ubuyu ...Khaaaa ubuyu umeshaisha hakuna chochote alikuwa ananitania tu chit chat
EwaaaaaaKwani nimebisha me