Huyuu ndo binamu .....Tafasiri Unavyoweza: Kabla ya Kutii Mamlaka Jiulize Kwanza
Kama kawaida tunakutana tena hapa kwenye kipengele ambacho unaruhusiwa kutafasiri unavyoweza, yaani hapa ni kama chuo kikuu, mawazo yako yanaheshimiwa hata kama yanapingwa. Hakuna mtu anayejua kila kitu kwa hiyo hata kwa kile ambacho umebobea na akaja barubaru kukieleza muheshimu utajifunza kitu.
Kufuata sheria ni jambo si tu la lazima bali ni la msingi. Kwa sheria ndipo mimi na wewe tunakutana hapa na kubadilisha mawazo, bila sheria kila kitu kingekuwa shagalabhaghala, isingekuwa tu potelea mbali bali uungwana usingekuwepo maana binadamu ni wanyama na kadri unavyopata moja ndo hamu ya kupata mia inakuja. Sheria ni muhimu ifuatwe.
Kufuata sheria ni jambo la muhimu, hakuna ubishi kwa hili japo kama raia mwenye akili timamu ni lazima ujiulize hii sheria ni halali na inawamulika wote? Au ni sheria inayomuangazia mmoja na kumwekea giza mwingine. Siongelei sheria kandamizi peke yake naongelea sheria pendeleo pia. Sheria pendeleo ni ile ambayo inaonesha upendeleo wa wazi kwa mtu au kikundi cha watu ilhali ikiwazibia wengine haki ile ile wanayoipata wao.
Kwa mantiki hii basi, unapotii sheria na ninasisitiza utiifu wa sheria, ni lazima ujiulize hii sheria ni sheria kweli au dhamiri yako inakutuma kuwa sheria hii ina walakini kwa kutoa upendeleo wa wazi au watekelezaji wa sheria hii kuona kenda na kujidai hawaioni kumi.
Ukiona dhamira yako inakutuma na kukuelekeza kuwa sheria fulani au watekelezaji wa sheria fulani wanakosea na ukajiridhisha kichwani kwako hata ukiwa mmoja basi una haki ya kutoitii sheria hiyo. Ndiyo utaingia matatizoni na watekelezaji wa sheria lakini kwa wote wenye kujifikiria na kusikiliza hoja yako watatambua kuwa wewe ndo raia mfuata sheria na unaitii. Tafauta maarifa na tafasiri unavyoweza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnamuonea binamu kumpa shikamooBinamu shikamoo naomba nyimbo ya rayvanny chuma ulete
Anashangaa leo unamwita sakayo si unamwitaga wife au babe [emoji41][emoji41]Kumbe ni sakayo..? [emoji3][emoji3][emoji3]
Komaaaa
Si ndo nashangaaa ....
Sakayo mwenye sura ya babake yuko wapi
Mmmmmh hapanaAnashangaa leo unamwita sakayo si unamwitaga wife au babe [emoji41][emoji41]
Hatumuonei ni haki yake ye si anampenda mama anataka kuwa baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnamuonea binamu kumpa shikamoo
Hivi binamu kwa mama mambo yalitikiii make sare yangu nahisi hainieneii tena na kitambi changuHatumuonei ni haki yake ye si anampenda mama anataka kuwa baba
Ebu acheni kunivuruga kwa nini mnanifanyia hiviii jamanHivi binamu kwa mama mambo yalitikiii make sare yangu nahisi hainieneii tena na kitambi changu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu anakuvurugajee?Ebu acheni kunivuruga kwa nini mnanifanyia hiviii jaman
Wewe ndio unanivuruga yaan sikuelewi mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu anakuvurugajee?
AiseeOk yawezekana uko sahihi
Ok sorryWewe ndio unanivuruga yaan sikuelewi mimi
We ni nani nipo seriousOk sorry
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnamuonea binamu kumpa shikamoo
Huyuu ndo binamu .....
Thanks alout ndo maana kijiweni wanakuitaga mzee wa busara japo wewe sio mzee
Hatumuonei ni haki yake ye si anampenda mama anataka kuwa baba
Hatukunyanyasi ni haki yako kabisa....sawa sawa kabisa anko, huu ni uonevu na unyanyasaji wa kijinsia. Tumosa na Shunie wananinyanyansa kijinsia wakati hata majeans huwa sivai
Mambo ya kizee ndio mambo gani hayoAnko na wewe umeanza kuninyanyasa kijinsia kwa kuniita mzee! Wewe si unajua kabisa Mimi ni kijana mwenzako sema Nina mambo ya kizeee