I hope sijachelewa ngoja niwape wamama wote heri ya siku yao ,Happy mothers Day ,tatizo langu la kutoweza kuandika comment zaidi ya moja kwenye thread bado lipo pale pale ,hivyo nikishindwa kuwa qoute mnisamehe bure
Heshima yenu pia makapuku wenzangu