Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,399
- 10,851
Familia ya bwana Shululu na mkewe Tumosa pamoja na watoto wao Johnson na Jackson wanawatakia kheri ya Krimasi na mwaka mpya makapuku wote
Karibu mkuuHero tuu asante, vp hatukaribishwi
Wap sasa mkuuKaribu mkuu
(Color=purple)Familia ya bwana Shululu na mkewe Tumosa pamoja na watoto wao Johnson na Jackson wanawatakia kheri ya Krimasi na mwaka mpya makapuku wote
Hapahapa kf mkuu wala uciende mbaliWap sasa mkuu
Hapa mkuu sasa itawezekanaje?Hapahapa kf mkuu wala uciende mbali
AmenFamily, niwakati mwingine tena wa kumshuru Mungu kwa siku hii ya pekee na yenye maajabu yake pia,
Ikiwa ni jumapili nzuri ya kwenda makanisani kumrudushia sifa na shukrani Mungu wako basi nawasalimu..
tumsifu yesu kristu!
Bwana yesu asifiwe!
Mapendo mapendo!
Majeshi majeshi!
Utukufu kwa Bwana Yesu!
Kuweni na jumapili njema ndugu zangu!
Asanteni. Nanyi Muwe na sikukuu njema(Color=purple)Familia ya bwana Shululu na mkewe Tumosa pamoja na watoto wao Johnson na Jackson wanawatakia kheri ya Krimasi na mwaka mpya makapuku wote
Haleluiya...Haleluiya...Haleluiya...Amen..Ubarikiwe OeMuziki: Happy Birthday Jesus
Sijui niandike nini ambacho hujawahi kukisikia kuhusu sikukuu hii yenye maana kubwa sana kwa Wakiristo wote ulimwenguni! Well, uzuri wa siku hii ya kuzaliwa Kristo Yesu ni kuenda mbali zaidi maana huyu ni mfalme wa amani, furaha na tabasamu na zaidi kipindi hiki tunakutana kama familia na kufurahia pamoja.
Krismasi Njema Makapuku wote humu bila kujali unaamini nini kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Tufurahi pamoja na hebu tufanye yale yanayompendeza Yeye aliyezaliwa leo.